UONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mtwara, umempongeza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama hicho, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kudhibiti mipaka na Nchi jirani hali inayopelekea mikoa ya Kusini kuishi kwa salama na amani.


Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mtwara, Salumu Nyengedi alipokuwa akitoa salamu za Mkoa huo katika mkutano wa Kampeni za Rais Dkt. Samia Mtwara Mjini Septemba 26, 2025.


"Ndugu zangu sisi leo tunaishi mpakani kwa usalama na amani, Mgombea wetu ambaye pia ni Amir Jeshi Mkuu wetu, amedhibiti mipaka yote, tunaishi kwa usalama na amani, inabidi tuumpongeze," amesema Nyengedi

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

LEO NI LEO KAMPENI ZA DKT. SAMIA SONGWE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM