MGOMBEA Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Jamhuri wa Tanzania, kupitia Chama Cha Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt Samia Suluhu Hassanameagiza shamba la Basotu lililopo wilayani Hanang mkoani Manyara ligawiwe kwa wananchi kwa gharama nafuu na kwa uwazi.
Ametoa maagizo hayo katika mkutano wa kampeni za CCM kwenye viwanja vya Sabasaba Katesh, Hanang Mkoa wa Manyara Oktoba 3, 2025.
Ameitaka Halmashauri ya Hanang na madiwani kuweka utaratibu mzuri wa kuligawa shamba hilo kwa wananchi kwa gharama nafuu na kwa uwazi ili kuepusha upendeleo na vishoka wanaopandisha bei kwa manufaa yao.
Comments