WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ametoa agizo kwa Watumishi wa umma kuacha Tabia ya kuchati kwa Simu wakati wa kazi na kwamba atakayebainika atachukuliwa hatua za kinidhamu.
Ametoa agizo hilo katika mkutano na vyombo vya habari jijini Dodoma Januari 30, 2926 alipokuwa akielezea mafanikio ya Utekelezaji wa ahadiI za Rais Samia Suluhu Hassan katika muda wa siku 100 tangu aapishwe kushika uongozi wa Nchi Novemba 3, 2025.
Comments