Mashabiki wa Vilabu vya Yanga na Simba miongoni mwao wakiwemo wabunge wakishindana kula wali na maharage wakati wa Azania Bank Bunge Bonanza 2026 leo Januari 31, kwenye viwanja vya Shule ya John Merlini eneo la Miyuji jijini Dodoma .
Katika Bonanza hilo ambalo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ta Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Mchemba lilishiikisha michezo ya aina mbalimbali ikiwemo kuvuta kamba, kurusha tufe, kufukuza kuku, kuvuta kamba, kunywa soda, soka, netiboli, wavu na basketi.
Comments