PATA TIBA LISHE BORA YA ASILI KUTOKA CHINA

ETERNAL INTERNATIONAL 

AFYA YA UZAZI /HEDHI
 

**Amenorrhea (Hali ya Kukosa Hedhi)  inaweza kutokea kwa sababu nyingi. Baadhi zikiwa ni za kawaida katika maisha ya mwanamke, wakati nyingine zikisababishwa na matumizi ya madawa au zikiwa ni ishara ya tatizo la kiafya. 
**Tatizo la kukosa hedhi linaweza kusababishwa na dosari yo yote kwenye hypothalamus, pituitary, ovari, mkondo wa uke au ya kiutendaji kimwili.

## Sababu za kawaida

. Ujauzito
. Kunyonyesha
. Kukoma hedhi

@Dawa za Kuzuia Mimba

Wanawake wengine wakitumia vidonge vya kuzuia mimba hukosa hedhi. Hata baada ya kuacha matumizi ya vidonge hivyo, huwachukua muda miili yao kurudi kwenye hali za kawaida na kuanza kuona hedhi zao. Njia za sindano au kupandikiza zaweza pia kuleta tatizo la kukosa hedhi. 

@Mitindo Ya Maisha

Baadhi ya mitindo ya maisha huweza kuchangia mwanamke kukosa hedhi. Kwa mfano:

@Kuwa na uzito mdogo sana.

 Kuwa na uzito mdogo kupita kiasi – asilimia 10 chini ya uzito wa kawaida – husimamisha shughuli nyingi za homoni ndani ya mwili, hivyo kusimamisha uzalishaji wa homoni.

@ Msongo wa mawazo. Msongo wa mawazo huweza kubadilisha kwa muda utendaji kazi wa hypothalamus – sehemu ya ubongo inayosimamia homoni zinazoratibu hedhi. Uzalishaji wa mayai na hedhi, hivyo vyaweza kusimama. Hedhi za kawaida hurudi baada ya msomgo wa mawazo kupungua.

@Kukosa Uwiano Wa Homoni

Matatizo kadhaa katika viungo vya mwili huweza kuvuruga mpangilio wa homoni katika mwili, ikiwa ni pamoja na:

kiwa unachangamoto yoyote inayohusu uzazi na afya ya mwili kiujumla basi usisite:-  

  *KARIBU ETERNAL INTERNATIONAL CLINIC*

Tunatoa huduma ya vipimo kwa mwili mzima yani (full body checkup) kwa gharama ya Tsh 30 ,000/= tu.

🔷 Dawa zetu ni tiba lishe.
🔶Tuna vituo mikoani

*RATIBA YA KAZI NA ORODHA YA VITUO NCHINI TANZANIA*

🔯 Dar es salaam
    👉🏼Banana _jumapili _ijumaa 
    👉🏼 Gerezani kariakoo _ jama tatu _ ijuma mosi
    👉🏼Mbagara zakhiem _ juma tatu _ ijuma mosi
✡️ mikoani 
👉🏼Dodoma area A _juma tatu _ ijuma mosi
👉🏼Dodoma meliwa _ijumatatu -ijumamosi
👉🏼Mafinga _ ijumatatu - ijumamosi
👉🏼Mwanza _ ijumatatu - ijumamosi
👉🏼Morogoro kihonda _ijumapili _ ijumaa
👉🏼Morogoro dumila _ijumapili _ ijumaa
👉🏼Singida irongero _ ijuma tatu_ ijuma mosi
👉🏼Mbeya ilomba -ijuma tatu _ ijuma mosi
👉🏼Kahama majengo _ ijumatatu _ ijuma mosi
👉🏼Bukoba hamugembe _ijuma tatu hadi _ ijumamosi
👉🏼Moshi mawenzi _juma pili _ ijumaa
👉🏼Mtwara mjini _ ijuma tatu _ ijuma mosi
👉🏼Tanga mjini _ijumatatu _ ijumaa
👉🏼Zanzibari _ijuma tatu _ ijuma mosi
👉🏼Lindi mjini _ ijumatatu _ ijuma mosi
👉🏼Masasi _ijumatatu _ijuma mosi
👉🏼Kigoma kasulu _ ijumapili - ijumaa

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa kututumia ujumbe mfupi au kutupigia Simu kwa no:-

0754264203




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

MBUNGE DKT. MAJULE ATOA MSAADA WA VYAKULA, VYANDARUA 100 SHULE YA VIZIWI DODOMA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

KWA NINI MAASKOFU JANA KWENYE IBADA YA KUMUAGA PENGO WALIVAA MAVAZI MEUPE WAKATI NI MSIBA..?

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.