Mkurugenzi wa Bodi ya Maji Bonde la Ziwa Victoria,Renatus James Shinhu ametoa wito kwa vijana kuwa wabunifu kutumia kiuchumi maji ya ziwa Victoria alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma leo Machi 6, 2026, kuhusu mafanikio ya utekelezaji wa miradi inayosimamiwa na bodi hiyo kwa mwaka 2025/26

Comments