Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akiwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Halmashauri ya Mji wa Njombe yanayofanyika leo Machi 7, 2026 katika Kijiji cha Luponde.
Maadhimisho hayo yanabebwa na Kauli Mbiu isemayo "Haki na Usawa kwa Wanwake na Wasichana: Msingi jumuishi kufikia Dira 2025.

Comments