MAMA SALMA ATINGA ZANZIBAR

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea Urais Dk.Jakaya Kikwete, Mgombea Urais wa Zanzaibar Dk. Ali Mohamed Sheni, Wabunge, Wawakilishi na Madiwani  katika Mkoa wa  Mjini Magaharibi  (20-1-2010 ) na kuwaombea kura katika Uchaguzi Mkuu ujao Okt.31, mwaka huu. (Picha na Mwanakombo Jumaa)
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI