Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimnadi mgombea ubunge wa Jimbo la Misungwi, Dk. Charles Kitwanga, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Soko la zamani la Misungwi jana Okt 22. Picha na Muhidin Sufiani

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI