Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Baraza Kuu la

Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM),

Ridhiwani Kikwete (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti

wa zamani wa Umoja huo, ambaye ni Mgombea ubunge wa

Jimbo la Kikwajuni Zanzibar kupitia CCM, Hamad

Masauni Yusufu sh. 1,000,000 zilizotolewa na UVCCM

kwa ajili ya kusaidia kampeni zake. Hafla hiyo

ilifanyika nyumbani kwa babake Masauni, Unguja jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI