MWISHO AWASILI DAR

Mwisho akilakiwa baada ya kuwasili usiku huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Kushoto ni Babak e aitwaye Ephraim Mwampamba na kulia ni shemeji yake Leila. Mwisho alishika nafasi ya nne katika shindano la Big Brother All Stars.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI