RIDHIWANI ATUZWA UKONGA

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete (katikati), akionesha hati aliyokabidhiwa  na UVCCM Wilaya ya Ilala, kumpongeza kwa kutambua mchango wake kwa UV CCM, wakati wa mkutano wa kampeni za kupanga mikakati ya ushindi kwa CCM, katika Kata ya Kitunda, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam juzi. Kulia ni Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam, Omari Ng'wanang'walu na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Ilala, Alfred Tukiko. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI