Vijana wa CCM, wakishangilia wakati wa mkutano wa ndani wa kampeni za kuwakumbusha vijana majukumu yao uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ridhiwani Kikwete katika Kata ya Kivule uliojumuisha kata zingine za Msongala, Kitunda, Ukonga, Kipawa na Pugu, Dar es Salaam jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU