Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Chama cha Mapinduzi CCM, wakicheza Rusha Roho kwenye mkutano wa kampeni Jimbo la Donge kaskazini B Unguja Uliofanyika leo katika uwanja wa Mahonda Zanzibar, ambapo Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM Dk. Ali Mohamed Shein alihutubia kwenye mkutano huo.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI