Wasanii wa kikundi cha Ngoma za asili za Kabila la Wasukuma, wakicheza ngoma hiyo wakati  wa mapokezi  ya mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, alipokuwa akiwasili kwenye uwanja wa Soko la zamani la Misungwi Mkowani Mwanza jana Okt 22 kufanya mkutano wa kampeni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI