LOWASSA AHUDHURIA HARUSI YA MTOTO WA MKUU WA MKOA WA SINGIDA

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akifurahia jambo wakati alipokuwa akimtambulisha mbunge wa Viti maalumu CHADEMA Mkoa wa Singida.

 Lowassa akiwatambulisha kwa niaba ya upande wa Familia ya Bwana harusi Wakuu wa Mikoa kutoka Arusha, Manyara, Dodoma, Shinyanga na Kilimanjaro

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa akiwatambulisha Wakuu wa wilaya za Mkoa wa Kilimanjaro, Arusha na Manyara waliohudhuria harusi ya mtoto wa Mkuu wa Mkoa wa Singida Kone jana mjini Arusha.
 
Lowassa akigonganisha glass

Bibi Harusi Joan Catherine Joseph akikabidhi keki kwa Baba Mkwe wake Mkuu wa Mkoa wa Singida Parseko Ole Kone, wakati wa harusi ya kijana wake iliyofanyika jana mjini Arusha, pembeni yake ni Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa ambaye pi ni Mbunge wa Jimbo la Monduli na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Medeye.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI