BUNGENI DODOMA LEO

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Ismani, William Lukuvi (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, Gerge Simbachawene (kulia), Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai (wapili kulia) na Mbunge wa Chilonwa, Hezekiah Chibulunje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Newala na Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawalaza Mikoa na Serikaliza Mitaa, Capt. Mstaafu George Mkuchika Katikati na Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi, Isack Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma jana. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zaynabu Vullu (kulia) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA