Mwalimu Julius Nyerere akichanganya udongo wa Tanganyika na Zanzibar, huku akishuhudiwa na Rais wa Zanzibar, Abeid Aman Karume, (wa tatu kushoto) na Rashid Kawawa (wa kwanza kulia) wakati wa sherehe za kwanza za Muungano zilizofanyika Aprili 26, 1964.
|
Sahihi za waasisi wa Muungano wa Tanzania, Hayati Julius Nyerere (kushoto) na Abeid Aman Karume.n |
|
Waasisi wa Muungano, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Hayati Abeid Aman Karume.
|
Waasisi wa Muungano wa nchi mbili za Tanganyika na Zanzibar, Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Hayati, Abeid Aman Karume (kulia waliokaa) wakisaini nyaraka za Muungano mwaka 1964.
Mwalimu Julius Nyerere (kushoto) na Sheikh Abeid Amani Karume (kulia) wakibadilishana Hati za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Aprili, 1964.
Comments