Mjumbe
wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa
CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jioni
ya leo.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia
wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson
Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda
akishuhudia tukio hilo.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia
umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na
hatokuwa na simile kwa watendaji wazembe.
Wananchi
wa Sumbawanga mjini wakiwa wamefurika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera kwa
wananchi
Wananchi
wa Sumbawanga mjini waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Nelson
Mandela jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni ambapo Mgombea Urais wa
CCM Dkt Magufuli aliwahutubia.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM,Mh.Pinda akimtambulisha Dkt Magufuli kwa wananchi
wa Kata ya Majimoto,wilaya ya Mlele mkoani Katavi kwenye mkutano wa
Kampeni.
Umati
wa wananchi wa Kitai wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wakimsikiliza
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM
Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye
mkutano wa Kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha
Maji moto wilayani Mlele mkoani Katavi.
Umati
wa wananchi wa Namanyere walayani Nkasi mkoani Rukwa wakiwa wamefurika
wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia
chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo
kwenye mkutano huo wa Kampeni
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili
kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia
wakazi wa mji huo.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Mgombea
wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi
waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akimnadi jukwaani anaewania nafasi ya Ubunge katika
jimbo la Nkasi Ndugu Ali Kessy,mbele ya wananchi wa Namanyere wilayani
Nkasi jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni.
Mgombea
Ubunge wa jimbo la Mpimbwe,Dkt Pudenciana Kikwembe akimwombea kura
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM
Dkt John Pombe,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya
Majimoto wilayani Mlele mkoani Katavi.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akimnadi jukwaani anaewania nafasi ya Ubunge katika
jimbo la Nkasi Ndugu Ali Kessy,mbele ya wananchi wa Namanyere wilayani
Nkasi jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni.
Baadhi
ya Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa mji wa Namanyere wilayani Nkasi
(hawapo pichani),kabla ya kuanza kuwahutubia kwenye mkutano huo wa
kampeni,kati ni Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda pamoja na
anaewania nafasi ya Ubunge katika jimbo la Nkasi Ndugu Ali Kessy
Moja ya bango lililobebwa na baadhi ya wafuasi wa CCM ndani ya uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga jioni ya leo.
Kada wa CCM Mzee Chrisant Mzindakaya akiwahutubia wakazi wa Sumbawanga
mjini kwenye mkutano wa kampeni za kumnadi Mgombea wa Urais kupitia CCM
Dk.John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Nelson Mandela.
Baadhi
ya Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia jambo wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia
umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na
hatokuwa na simile na watendaji wazembe.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe akiwapungia wananchi alipokuwa akiwasilia katika Kata ya Maji
moto alipokwenda kuwahutubia wakazi wa kata hiyo wilayani Mlele mkoa wa
Katavi.kulia kwa mgombea ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mh.Pinda

Wakifurahia jambo
Wafuasi wa chama cha CCM wakishangilia kwenye mkutano wa kampeni ndani ya uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Lunyala,wilayani Nkasi
alipokuwa akielekea mjini Namanyere kuwahutubia wananchi kwenye mkutano
wa kampeni.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe (hayupo pichani) akiwahutubia wakazi wa kata ya Maji
moto,wilayani Mlele mkoani Katavikwenye mkutano wa kampeni.
Comments