CHONGOLO AKEMEA UBADHILIFU NDANI YA JUMUIYA ZA CHAMA+video

                               
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemera Lubinga akihutubia kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo alipokuwa akifungua Kikao cha Baraza Kuu la Jumuiya ya Wazazi Makao Makuu ya chama jijini Dodoma leo Desemba 22, 2021

Katika hotuba yake hiyo, Katibu Mkuu Chongolo amesema kuwa makundi yenye hila, njama ndani ya Jumuiya za chama ni ukiukaji wa maadili na havikubaliki wala kuvumilika.

Aidha, Chongolo amekemea tabia ya ubadhilifu katika Jumuiya za chama.



Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Taifa, Dkt. Edmund Mndolwa akizungumza kabla ya kumkaribisha Katibu wa Halmashauri Kuu, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Kanali mstaafu Ngemera Lubinga kuhutubia.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Gilbert Kalima  akiishukuru CCM Taifa kwa kuteua makatibu wa wilaya 16 kutoka kwenye Jumuiya hiyo.
Katibu wa Organaizesheni CCM Taifa, Mondrine Castico ambaye pia ni mlezi wa Jumuiya za chama, akisisitiza ushirikiano wa jumuiya hizo. 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake CCM (UWT), Dkt Philis Nyimbi akitoa salamu kutoka kwenye jumuiya hiyo.
Wajumbe wa Baraza Kuu la Wazazi wakiwa katika kikao cha baraza hilo.










 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri kwenye kikao hicho cha Baraza Kuu......

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

PANYA MAGAWA WA SUA TANZANIA AJENGEWA MNARA WA HESHIMA CAMBODIA