WIZARA YA ELIMU YAPONGEZWA KUANDAA WIKI YA UBUNIFU, MAKISATU+videoMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman (kulia0 akipata maelezo kutoka kwa Masoud Kipanya kuhu gari aliloliunda linalotumia umeme wakati wa Maonesho ya Wiki ya Ubunifu kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Mei 16, 2022.


Makamu wa  Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman akiangalia FILTER ya maji iliyobuniwa na Profesa Hilonga Akwar (kulia)


Mkufunzi mwenye ulemavu wa macho akielezea mbele ya Makamu wa Rais jinsi anavyofundisha wananfunzi katika Banda la Chuo Kikuu Huria
Mratibu wa Taasisi ya Magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Profesa Gerald Misinzo akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza Rais wa Zanzibar kuhusu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Morogoro (SUA)  kuhusu mfumo wa wa Afya Data.
Dowson Malela akitoa maelezo kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman kuhusu mashinde aliyobuni ya kupanda mbegu za mazao.
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akijadiliana jambo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman walipokuwa wakitoka kukagua mabanda.

Baadhi ya wabunge
Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, Mbunge wa Hanang, Samweli Hayuma akitoa salamu za kamati hiyo.
Waziri Mkenda akihutubia kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais wa Zanzibar, Othman kufungua maonesho hayo

Makamu wa Kwanza , Othman Rais wa Zanzibar, akihutubia wakati wa kufungua Wiki hiyo ya Ubunifu.


 Viongozi wakiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar wakipicha na baadhi ya wasanii waliotumbuiza katika maoneno hayo.


PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza/kuona kupitia clip hii ya video ujue yaliyojiri wakati wa ufunguzi wa Wiki hiyo ya Ubunifu....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

HIZI NDIO DALILI ZA VVU KWA WATOTO WADOGO

MATOKEO YA DARASA LA SABA YATANGAZWA

KAMONGA AIOMBA SERIKALI KUIPA KIPAUMBELE LUDEWA UWEKAJI UMEME KWENYE VITONGOJI+video

UTAFITI WAJA NA 'DAWA MPYA' YA KUSAIDIA TIBA YA WAGONJWA WA AFYA YA AKILI +video

SILLO AISHAURI SERIKALI KUIWEZESHA TRA IWE NA MIFUMO MIZURI YA UKUSANYAJI KODI+video

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2013 YATOKA, YAPO HAPA ... YAONE HAPA KWA NJIA RAHISI KABISA

BUTONDO:TUNAOMBA AMBULANCE IKASAIDIE TARAFA YA MONDO KISHAPU+video

Xi REPLIES TO LETTER FROM CARDRE WORKSHOP PARTICIPANTS AT NYERERE LEADERSHIP SCHOOL

SERIKALI YAAHIDI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI KISHAPU

SHULE YA PAMOJA YA ARUMERU WAFUNDISHWA BUNGENI UHUSIANO WA BUNGE NA RAIS, UMUHIMU WA SIWA+video