SERIKALI YAAHIDI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI KISHAPU

 Mbunge wa Jimbo la Kishapu, Boniface Butondo ameiomba serikali kuchangia ujenzi wa Kituo cha Polisi ngazi ya Wilaya ya Kishapu ambacho wananchi wameshachangia sh. milioni 50. 


Butondo ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma leo Juni 16, 2022, na kujibiwa na Naibu Waziri Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini......

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akitoa ombi lake hilo.... 

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

𝐌𝐉𝐔𝐄 𝐊𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑𝐎 𝐌𝐙𝐄𝐍𝐀

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.

YANGA YAMPOTEZA MAMA FATMA KARUME MWANA YANGA KINDAKI NDAKI

MVUA ZA EL NINO ZINASABABISHWA NA NINI?.

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU