DUWASA IMEJIPANGA VILIVYO KUHUDUMIA WANANCHI MAONESHO YA NANE NANE NZUGUNI DODOMA+video


Baadhi ya wateja wakihudumiwa na Leila Jumanne wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) katika banda la mamlaka hiyo kwenye viwanja vya Maonesho ya Nane Nane, Nzuguni, Dodoma.


PICHA NA RICHARD MWAIKENDA
 

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA), Edwin Mwijage akielezea jinsi mamlaka hiyo ilivyojipanga kuwahudumia wateja wao katika Banda lao lililopo katika Maonesho ya Kilimo Nane Nane Kanda ya Kati Nzuguni Dodoma, ambapo amewakaribisha wananchi kwenda kwenye banda hilo kuhudumiwa.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MSIMAMIZI MKUU KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI