KAZI YA KUONGOZA NCHI SIYO LELEMAMA - KOMREDI CHONGOLO+video


 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo amesema kuwa ilani ya CCM yenye kurasa zaidi ya 300 ina mambo muhimu sana, Kazi ya kuongoza nchi siyo ya lelemama, ni kazi nzito, ngumu, ina wajibu hivyo inatakiwa kukaa mguu sawa kuhakikisha mambo yanaenda vizuri,

Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia katika katika kikao na mwenyekiti wa shina namba 4, Deodatha Msasa katika jimbo la Kalenga Iringa Vijijini Mei 29,2023.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...

NAPE AWAPA UKWELI VIJANA