RWEIKIZA AMSHUKURU RAIS KWA KAZI KUBWA ANAYOIFANYA


 Mbunge wa Bukoba Vijijini,m Dkt. Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa mika minne ya uongozi wake kwa kupeleka miradi mingi katika Jimbo la Bukoba Vijijini. Ametoa pongezi hizo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Aprili 17, 2025 bungeni Dodoma.

IMEANDALIWA NA 
RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...

NAPE AWAPA UKWELI VIJANA