Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodadus Mwanyika akiongoza mkutano wa 19, Bunge la 12, kikao cha tatu cha Bunge la Bajeti jijini Dodoma Aprili 10, 2025, ambapo wabunge walikuwa wakijafili makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Mwanyika akitoka baada ya kuahirisha kikao hicho hadi saa 11 jioni.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
Mwanyika akitoka baada ya kuahirisha kikao hicho hadi saa 11 jioni.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments