Kitunguu saumu kina weza kutumika kutibu maogonjwa mengi kikitumika kwa usahihi.kimekua kikitumika kama dawa tangu mwaka 1700.kina weza kutibu kifua kikuu,kuharisha damu,homa yamatumbo,kifuaduro,matatizo ya mfumo wa mkojo,matatizo ya uyeyushaji wa chakula N.k.katika vita vya kwanza vya dunia vilitumika kuzuia kuoza kwa vidonda na damu kupata sumu sababu ya maambukizi ya vidonda
Imethibitishwa kwamba kitunguu saumu ndio mfano nzuri zaidi wa msemo wa kifalisafa unaosema kwamba dawa yako iwe chakula chako na chakula chako dawa yako.
ALLICIN:ni kiambata kilichomo ndani ya kitunguu saumu ambapo kitunguu saumu kinapo sagwa,enzaimu alliinase inabadilisha ILLIN na kuwa ALLICIN .ALLICIN ni dawa ya kuua bacteria na fangasi yenye NGUVU.allicin pia inatibu kukaza kwa mishipa ya moyo(arteriosclerosis).
AJOENE : ni kiambata kingine kilichomo ndani ya kitunguu saumu.huwa na asili ya kuua vidudu na fangasi(antibacterial)na antifungal)pia inazuia kuganda kwa damu na Kupoteza uwezo wa kutokea kwa magonjwa ya moyo.
FLAVONOID:Kitunguu saumu kina FLAVONOID inayo zuia Kupoteza kwa oksijeni na Kupunguza hatari ya saratani,maogonjwa ya moyo na baadhi ya magonjwa ya mishipa ya fahamu.
#ukionapo mahari usikichukulie poa :Mwenyezi mungu ametubaliki kwa kutupa mimea yenye NGUVU ya ajabu.tunakila sababu ya kumshukuru.
Imeandaliwa na
Dr Ndagije
0692495991
DARESALAM TANZANIA

Comments