Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Oran Njeza ameipongeza Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa kazi kubwa wanayoifanyakatika ukaguzi huo wa ndani ya Nchi kiasi hata cha kupatiwa kazi hata na Umoja wa Mataifa.
Pongezi hizo amezitoa alipokuwa akizungumza wakati wa mkuteano wa CAG Charles Kicheere na vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili 16, 2025 kuhusu ripoti ya ya ukaguzi ya mwaka 2023, 2024 iliyowasilishwa bungeni Dodoma.
Njeza ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Vijijini akitoa pongezi hizo kwa CAG Kicheere (kulia)
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments