Q
Ninawashukuru Wenzangu Ofisini kwa Sapraiz la Mwaka. Tukiwa kwenye kikao Kazi, Ghafla Boonge la Keki.
Nakushukuru sana Naibu Waziri Cde. Patrobas Katambi, Katibu Mkuu Bi. Marry Maganga, Naibu Katibu Mkuu Bi. Zuhura Yunus na Menejiment nzima ya Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu kwa hili. Mmefanya siku imekuwa njema sana na kujaza furaha. Nawashukuru sana . # HappyBirthdayToMe.




Comments