TANZANIA HOYEEEEEEE!!!!!


Hatimaye tumefuzu kucheza Michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake kwa mchezo wa Futsal baada ya Timu ya Tanzania (Twiga Stars) ya Futsal kuwanyuka Cameroon 3-2 katika pambano kali la nusu fainali lililopigwa Jijini Rabat Morocco.

Kudos Dada zetu @twigastarstz



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...

NAPE AWAPA UKWELI VIJANA