Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Aprili 17, 2025, kuhusu mafanikio ya miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu HassanIMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203

Comments