Kocha Mkuu wa klabu ya ๐ช๐ฌAl Masry Anis Boujelbene ameweka wazi kuwa anaenda kuuduwaza umati wa mashabiki watakaojitokeza kwenye mchezo wa kesho dhidi ya ๐น๐ฟSimba SC
"Kiwango kikubwa cha mashabiki wa simba watakaojitokeza kesho kitaongeza presha ya mchezo. Natumai tutavuka kwenda hatua inayofuata ili tuwafurahishe mashabiki zetu."
"Nyota wetu wapo tayari kuziba nafasi ya John Ebuka Tumejiandaa vya kutosha na tutafuzu kwenda hatua inayofuata.Tumeisoma Simba na tupo tayari kwa mabadiliko yoyote watakayofanya."
- Anis Boujelbene, Kocha wa ๐ช๐ฌAl Masry kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Simba.

Comments