UCHAPISHAJI WA VITABU VINAVYOELEZEA MAFANIKIO YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM NDANI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo huwa anatumia njia mbalimbali kuelezea mafanikio tunayoyapata Jimboni mwetu kutoka kwenye Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM.
1. Njia Na. 1
Taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo hurushwa kwenye mitandao mbalimbali ya ndani na nje ya nchi
2. Njia Na. 2
www.musomavijijini.or.tz
Jimbo letu lina TOVUTI yake inayotembelewa na wasomaji wengi kutoka ndani na nje ya nchi
3. Njia Na. 3
Vitabu vya rangi hugawiwa bure
Mpangilio wa uchapishaji wa vitabu hivi ni kama ifuatavyo:
(i) Volume VII: itachapishwa Agosti 2025
(ii) Volumes V&VI: zitachapishwa Mai 2025
(iii) Volumes I, II, III & IV: zilishachapishwa na kugawiwa bure
"Soft copies" ya vitabu hivi zinapatikana kwenye TOVUTI ya Jimbo letu.
Picha iliyoambatanishwa hapa inaonesha majarida ya VITABU SITA vinavyoelezea mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini
WASOMAJI MNAKARIBISHWA
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumatatu, 28 April 2025

Comments