Mbunge wa Jimbo la Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri serikali kuwa tayari kuchukua maamuzu magumu kwa kuwanyang'anya wawekezaji wanaohodhi ardhi kubwa bila kuzifanyia kazi na kuwanyima vibali wawekezaji wanaowadhulumu wananchi katika sekta ya misitu Njombe.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/ 2026 bungeni Dodoma Aprili 14, 2025.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments