Mapema leo WAZIRI wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, RIDHIWANI KIKWETE, amepita Manispaa ya Singida, kuangalia maandalizi ya sherehe za Sikukuu ya Wafanyakazi ( Mei Mosi). Maandalizi yanakwenda vizuri na hatua iliyopo sasa ni zaidi ya Asilimia 88.
"Ninawashukuru sana Viongozi wa TUCTA wakiongozwa na Katibu Mkuu Ndg. Henry Mkunda kwa kazi nzuri akishirikiana na uongozi wa Mkoa chini ya Cde. Halima Dendegu. " KIKWETE.
Mei Mosi hii inakwenda peleka Neema na mabadiliko makubwa Mkoa wa Singida. #KaribuniSingida #MeiMosi2025



Comments