Katibu Mkuu
wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG), akielezea kuhusu maandalizi ya
sherehe ya kusimikwa kwa Askofu Mkuu wa
Kanisa hilo, Dkt. Evance Chande zitakazo fanyika eneo la kanisa hilo Ipagala
jijini Dodoma kesho Jumamosi Aprili 19, 2025. Maandalizi hayo yameenda sambamba
na waumini kujitolea damu ya kusaidia wagonjwa katika Hospitali ya Benjamin
Mkapa.
Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.
Askofu Mteule Evance Chande.Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wakichangia damu katika shughuli iliyofanyika katika Kanisa la KAG.

Comments