DAWA YA KUWABANA MADALALI WA ARDHI INAKUJA- WAZIRI NDEJEMBI


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amesema kuwa serikali imo mbioni kuunda chombo kitakacho wasimamia madalali na mawakala wa ardhi nchini kwa lengo la kutokomeza utapeli. Hayo yameelezwa leo Mei 23, 2025 jijini Dodoma na Waziri Ndejembi ,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.


Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akitoa neno la kuhitimisha mkutano huo.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...

NAPE AWAPA UKWELI VIJANA