Kwa mujibu wa Harvard Business Review, Forbes, World Economic Forum wameorodhesha orodha ya kazi kumi duniani ambazo Akili mnemba (AI) haitaweza kuchukua nafasi.
Hii inakuja mara baada ya AI kuonekana kuteka soko sana katika kona mbalimbali za kazi duniani na kuacha wanadamu wengi vinywa wazi bila ajira za kufanya.
Hizi hapa Kazi 10 Ambazo AI Haiwezi Kuchukua Nafasi
1️⃣ Mtaalamu wa tiba
2️⃣ Fundi umeme
3️⃣ Nesi
4️⃣ Mfanyakazi wa Jamii
5️⃣ Mwalimu (hasa utotoni)
6️⃣ Fundi bomba
7️⃣ Mwandishi Mbunifu
8️⃣ Mwanamitindo wa nywele
9️⃣ Tabibu wa Kazi
๐ Mshauri wa Mgogoro
Chanzo: Harvard Business Review, Forbes, World Economic Forum

Comments