ILANI: 2020-2025
TAARIFA ZA MAFANIKIO
*Taarifa za miradi inayotekelezwa kwa kila Mwaka wa Fedha zinatolewa na kusambazwa kwa njia mbalimbali, zikiwemo:
(i) Mikutano mbalimbali ya Chama (CCM) na Serikali ndani na nje ya Jimbo la Musoma Vijijini
(ii) Mitandao ya aina mbalimbali ikiwemo ya WhatsApp, U-tube, Instagram na Baruapepe
(iii) TVs, Redio na Magazeti
(iv) Tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini
(www.musomavijijini.or.tz)
(v) Vitabu vya rangi huchapishwa na kugawiwa bure
VITABU vinavyoelezea MAFANIKIO ya UTEKELEZAJI wa ILANI ya UCHAGUZI ya CCM ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini:
(v) Mwaka wa Fedha 2024/2025
Taarifa zinatolewa mara kwa mara kupitia njia zilizoainishwa hapo juu
Volume VII: Kitabu cha Mwaka huu wa Fedha kitachapishwa baada ya tarehe 30.6.2025
(iv) Mwaka wa Fedha 2023/2024
Volume VI: Kitabu kinachapishwa na kitaanza kugawiwa bure kuanzia tarehe 30.5.2025
Kitabu hiki (kimeambatanishwa hapa) kitawekwa kwenye Tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini kuanzia Jumanne, 27.5.2025
Jina la Mtayarishaji wa Kitabu hiki liko Ukurasa wa 102
(iii) Mwaka wa Fedha 2022/2023
Volume V: Kitabu kinachapishwa na kitaanza kugawiwa bure kuanzia tarehe 30.5.2025
Kitabu hiki (kimeambatanishwa hapa) kitawekwa kwenye Tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini kuanzia Jumanne, 27.5.2025
Jina la Mtayarishaji wa Kitabu hiki liko Ukurasa wa 86
(ii) Mwaka wa Fedha 2021/2022
Volume IV: Kitabu hiki cha Kurasa 116 kiliishachapishwa (30.6.2022) na kugawiwa bure
Kitabu hiki (soft copy) kinapatikana kwenye Tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini
(www.musomavijijini.or.tz)
Jina la Mtayarishaji wa Kitabu hiko liko Ukurasa wa 116
(i) Mwaka wa Fedha 2020/2021
Volume III: Kitabu hiki cha Kurasa 180 kiliishachapishwa (30.6.2021) na kugawiwa bure
Kitabu hiki (soft copy) kinapatikana kwenye Tovuti ya Jimbo la Musoma Vijijini
(www.musomavijijini.or.tz)
Jina la Mtayarishaji wa Kitabu hiko liko Ukurasa wa 180
Viambatanisho vya hapa: Volumes V & VI
Usiache kutembelea TOVUTI ya Jimbo la Musoma Vijijini
(www.musomavijijini.or.tz)
KAZI NA UTU, TUNASONGA MBELE
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumamosi, 24 May 2025

Comments