Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameitaka serikali kubadilisha ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu badala ya kujenga kwa zege yenye gharama kubwa, ijengwe kwa kiwango cha lami ili ikamilike haraka.
Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali bungeni Dodoma Mei 2, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203

Comments