MWANYIKA ZIDI KUIBANA SERIKALI UJENZI WA CHUO CHA UTALII NJOMBE


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameikomalia serikali bungeni Dodoma Mei 9, 2025 kwa kuihoji kwamba lini wataanza ujenzi wa Chuo cha Utalii eneo la Uwemba mkoani Njombe?

Swali hilo limeulizwa kwa niaba yake na Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mgaya katika kipindi cha maswali bungeni.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

UKWELI KUHUSU TENDO LA NDOA NA FAIDA ZAKE

HUYU NDIYE WANU HAFIDH, CHAMPIONI WA ELIMU

MAWAZIRI WALIOACHWA HAWA HAPA

๐Œ๐‰๐”๐„ ๐Š๐€๐‚๐‡๐„๐‘๐Ž ๐Œ๐™๐„๐๐€

HISTORIA YA MAREHEMU MC PILIPILI

VITU 10 WANAUME WANAVYOPENDA ZAIDI TOKA KWA MWANAMKE — SIYO SURA, SIYO MWILI ❤️

USIKUBALI KUWA LOFA KWA MWANAMKE...

NAPE AWAPA UKWELI VIJANA