RAIS Samia Suluhu Hassan amekuwa Rais wa kwanza kufanikisha urekebu wa sheria na kuwezesha sheria 300 kati ya 446 kubadilishwa kutoka Lugha ya Kiingereza kuwa katika Lugha ya kiswahili.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro slipokuwa skizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma Mei 20,2025, kuelezea mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia.
Comments