Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameongelea ujenzi wa barabara la Jimboni mwake - barabara la Musoma-Makojo-Busekera (92 km)
Vilevile, Mbunge huyo ametoa ushauri kuhusu vyanzo vya upatikanaji wa fedha za ujenzi wa barabara za lami za nchini mwetu.
Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe:
Jumanne, 6 May 2025
Comments