Tafadhali tembelea Tovuti ya Jimbo letu (soft copies):
www.musomavijijini.or.tz
VITABU 2 (Volumes V & VI): nakala zaidi 2,000 (hard copies) zitaanza kugawiwa wiki ijayo
Taarifa mpya nyingine kwenye Tovuti yetu ni:
Matokeo ya Mjadala wa Uboreshaji wa Ufundishaji, Ujifunzaji, Uelewa na Ufaulu wa Shule za Musoma Vijijini
Kiambatanisho cha hapa kinaonesha:
Ukurasa wa mbele (screen short) ya TOVUTI ya Jimbo letu
TEMBELEA TOVUTI YA JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Comments