Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro amesema kuwa zaidi ya watanzania mili. 6 wamenufaika na elimu ya Katiba, Utawala bora na Uraia katika mikoa 30 nchini.
Haya yamebainishwa na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro slipokuwa skizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari Maelezo jijini Dodoma Mei 20,2025, kuelezea mafanikio ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments