LEO BUNGENI DODOMA
Dira ya Maendeleo (Vision 2050, 2025-2050)
Prof Sospeter Muhongo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini ametoa mapendekezo ya ukuaji wa uchumi wetu ili kufikia malengo ya Vision 2050
Malengo makuu:
Ifikapo Mwaka 2050 uchumi -
(i) Pato la Taifa (GDP): USD 1.0 Trillion
(ii) GDP per capita: USD 7,000
Mapendekezo ya Prof Muhongo:
(i) Uchumi ukue kwa 10% kwa mwaka
(ii) Bidhaa za Sekta 6 za Uzalishaji zikuze uchumi kwa kasi kubwa
(iii) Vyanzo vipya vya mapato
(iv) Utumiaji mkubwa wa umeme mwingi (viwanda)
CLIP/VIDEO kutoka Bungeni:
Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Tarehe: 4 Feb 2026
Comments