𝗠𝗮𝗸𝗮𝗯𝗶𝗹𝗮 10 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘆𝗼 𝘂𝗸𝗶𝗸𝗮𝗮 𝗸𝗮𝗿𝗶𝗯𝘂 𝗻𝗮𝗼, 𝗸𝘂𝘁𝗼𝗯𝗼𝗮 𝗸𝘂𝗻𝗮𝘄𝗲𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘄𝗮 𝗿𝗮𝗵𝗶𝘀𝗶 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 ⚠️ Kumbuka: Haya ni maoni na mitazamo ya kijamii tu, si kwamba kabila fulani lina mafanikio kuliko lingine. Mafanikio yanategemea juhudi, elimu, nidhamu na fursa. 1. Wasukuma Wana sifa ya kufanya kazi kwa bidii, hasa kwenye kilimo, ufugaji na biashara. Wengi huaminika kuwa wavumilivu katika kutafuta maendeleo. 2. Wachagga Hujulikana kwa moyo wa biashara, uwekezaji na kusaidiana kifamilia katika shughuli za maendeleo. 3. Wahaya Wana historia ndefu ya biashara, elimu na shughuli za uzalishaji zinazochochea maendeleo. 4. Wanyakyusa Wengi wanasifiwa kwa bidii katika biashara, kilimo na uwekezaji wa muda mrefu. 5. Wakinga Hujulikana kwa uchapakazi, nidhamu na uthubutu wa kutafuta fursa sehemu mbalimbali za nchi. 6. Waha Wana sifa ya kujituma katika biashara na shughuli mbalimbali za kiuchumi. 7. Wapare Mara nyingi husifiwa kwa kuthamini elimu, kazi na mipango y...
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AWAFUNDA VIONGOZI WA CCM PWANI JUU YA KUEPUKANA NA MAKUNDI,NA MAGOMVI
MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AWAFUNDA VIONGOZI WA CCM PWANI JUU YA KUEPUKANA NA MAKUNDI,NA MAGOMVI
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
MIGIRO ACHAGULIWA MAKAMU MWENYEKITI UONGOZI WA UMOJA WA VYAMA VYA SIASA BARANI AFRIKA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI
MIGIRO ACHAGULIWA MAKAMU MWENYEKITI UONGOZI WA UMOJA WA VYAMA VYA SIASA BARANI AFRIKA KANDA YA AFRIKA MASHARIKI
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
- Get link
- X
- Other Apps
HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Asha-Rose Migiro, amefungua semina elekezi kwa Kaimu Makatibu wa CCM Mikoa 32, leo Septemba 29, 2026, jijini Dodoma. Semina hiyo ya siku mbili inalenga kuwajengea uwezo viongozi hao kuhusu majukumu yao ya kiuongozi, uendeshaji wa shughuli za chama pamoja na utekelezaji wa mipango na maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi. Akifungua semina hiyo, Ndugu Migiro amesisitiza umuhimu wa viongozi hao kutekeleza majukumu yao kwa uadilifu, weledi na kuzingatia misingi, kanuni na taratibu za chama.
Leo, tarehe 03 Oktoba 2026, katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Ikulu Zanzibar, nimetangaza uteuzi na uhamisho wa Mawaziri na Naibu Mawaziri, pamoja na mabadiliko ya miundo ya baadhi ya Wizara. Mabadiliko haya ni sehemu ya kukamilisha uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, kwa kuwajumuisha Mawaziri kutoka ACT-Wazalendo, sambamba na kuendelea kutekeleza makubaliano ya maridhiano baina ya CCM na ACT-Wazalendo. Katika uteuzi huo, ACT-Wazalendo imepata nafasi nne za uwaziri: • Mhe. Nassor Ahmed Mazrui – Waziri wa Afya. • Mhe. Omar Said Shaaban – Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda. • Mhe. Dkt. Nasra Nassor Omar – Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale. • Mhe. Dkt. Mohamed Ali Suleiman – Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Habari na Ubunifu. Aidha, nimefanya mabadiliko ya miundo ya baadhi ya Wizara, ikiwemo kuhamishia masuala ya Mipango katika Ofisi ya Rais, Ikulu, pamoja na kuanzisha Wizara ya Kazi, Ajira, Vijana na Uwezeshaji. Katika mabadiliko hayo: • Mhe....
MBUNGE DEO MWANYIKA AFANYA ZIARA YA KIKAZI KATA YA MJI MWEMA, AKAGUA MIRADI NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI Mbunge wa Jimbo la Njombe, Mhe. Deo Mwanyika, jana tarehe 3 Agosti 2026, alifanya ziara ya kikazi katika Kata ya Mji Mwema kwa lengo la kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo, kuzungumza na wananchi pamoja na kusikiliza changamoto zinazowakabili. Katika ziara hiyo, Mhe. Mwanyika alikagua Daraja la Kifung’a, lililopo katika barabara inayounganisha maeneo ya Mji Mwema na Ramadhani. Ukaguzi huo ulimwezesha kujionea hali halisi ya daraja hilo pamoja na umuhimu wake katika kurahisisha usafiri wa watu, mazao na huduma nyingine muhimu. Aidha, Mhe. Mbunge alitembelea na kukagua ujenzi wa nyumba ya mwalimu katika Shule ya Msingi Peluhanda. Alipokea taarifa kuhusu hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo na kusisitiza umuhimu wa kuboresha mazingira ya kuishi na kufanya kazi kwa walimu ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa elimu. Baada ya kukagua miradi hiyo, Mhe. Mwa...
Makundi maalumu 27,946 yamesajiliwa kwenye m fumo wa NeST na ku pata zabuni zenye jumla ya thamani ya Shilingi Bilioni 56 , kupitia Mfumo huo. makundi ya vijana ni 13, 317 wanawake 13,400 , wazee 643 na watu wenye ulemavu 586. Hayo yemebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Dennis Simba wakati wa mkutano na vyombo vya habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO, katika Mji wa Serikali wa Mtumba jijini Dodoma, Agosti 20, 2026. Sheria ya Ununuzi wa Umma, imezielekeza taasisi zote za umma kutenga asilimia 30 ya bajeti zao za ununuzi kwa ajili ya makundi maalum (vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu). Lengo la PPRA, kwa kuzingatia malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni kuwa na takribani makundi 300,000 yaliyo tayari kuomba zabuni. Hatua hii ni sehemu ya jitihada za Serikali kutoa ajira na kazi kwa Watanzania ambao hawana uwezo wa kuwa na kampuni, ambao wanaweza kujiunga k...
MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA
1. Wahiraki, Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho. 2. Warangi, Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa. 3. Wanyiramba. Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu 4. Wamasai, kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha 5. Wahaya, hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba. 6. Wanyaturu, Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia 7. Wapare, Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri. 8 .Wamakonde, ...
NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji
BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) zimeendelea kuimarisha ushirikiano wa kukuza vipaji, kuhamasisha ufaulu wa kitaaluma na kuwaandaa vijana kwa soko la ajira, kupitia makubaliano ya miaka mitano. Akizungumza katika hafla ya NMB Best Student Awards 2025/2026 iliyofanyika Oktoba 12, Mkuu wa Huduma za Rasilimali Watu wa NMB, Joseph Ngalawa, alisema ushirikiano huo ulianza mwaka 2023 kwa kuwatambua wanafunzi watatu wa Shule Kuu ya Biashara (UDBS), kabla ya mpango huo kupanuliwa na kujumuisha wanafunzi 10 kutoka programu mbalimbali za masomo. Ngalawa alisema NMB pia imewasaidia wahitimu zaidi ya 150 kupata maarifa na stadi za kazi kupitia programu za maandalizi ya ajira, sambamba na kuendesha maonesho ya taaluma yanayowaunganisha wanafunzi na wataalamu. Katika hafla hiyo, wanafunzi 10 bora walitambuliwa kwa vyeti na zawadi ya Sh milioni mbili kila mmoja. Kwa upande wake, Makamu Mkuu wa UDSM, Profesa William Anangisye, aliipongeza NMB kwa kuendeleza ushirikiano huo, akisema ...
MILIKI UBUNIFU MAJESHINI KULINDWA KISHERIA
NA MWANDISHI WETU Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), Godfrey Nyaisa, amezihimiza taasisi za majeshi nchini kusajili na kulinda bunifu zao kisheria ili kutambua umiliki wake, kuzuia matumizi yasiyoidhinishwa na kuongeza thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa. Nyaisa ameyasema hayo leo, Oktoba 12, 2026, wakati akifungua mafunzo kuhusu Miliki Ubunifu kwa Majeshi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofanyika mkoani Morogoro. Amesema mafunzo hayo yanalenga kuwajengea maafisa wa majeshi uelewa kuhusu aina mbalimbali za miliki ubunifu zinazoweza kulindwa kisheria, zikiwemo alama za biashara na huduma (nembo), hataza za uvumbuzi, maumbo bunifu, na nyenzo nyingine za miliki ubunifu. “Kimsingi, mafunzo haya yataangazia umuhimu na mchango wa miliki ubunifu katika taasisi za majeshi nchini, ikiwemo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Jeshi la Polisi na Jeshi la Magereza. Tutaangalia namna bunifu zinavyowe...
MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA
Wananchi wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika TikTok LIVE ya dharura iliyoendeshwa leo, Oktoba 4, 2026, na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, *Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,* iliyolenga kujadili changamoto za wanaume kwenye ndoa. Katika kipindi hicho, wananchi wakiwemo wanaume walipata fursa ya kueleza kwa uwazi uzoefu na changamoto ambazo wanaume wanazokutana nazo katika maisha ya ndoa, huku wakitaja sababu mbalimbali wanazoona zinachangia migogoro ya ndoa na familia kwa ujumla. Aidha, wanaume walifunguka kuhusu yale ambayo wamekuwa wakiyabeba kimya bila kupata nafasi ya kuyazungumza, jambo lililoonesha namna mjadala huo ulivyowagusa wananchi na hasa wanaume. Kwa muda wa saa 4 na dakika 26, TikTok LIVE hiyo ilifikisha jumla ya watazamaji 108,900, maoni 10,300, likes 270,500 na wafuasi wapya 2,200. Aidha, LIVE hiyo ilipokea zawadi kutoka kwa watoa zawadi 71 zilizofikia diamonds 1,000, takwimu zinazoonesha mwitikio mkubwa wa wananchi katika mjadala ku...
UJUE UKWELI KUHUSU JIJI LA MBEYA (GREEN CITY)
1. Jina la Mbeya limetokana na neno la kisafwa "Ibheya" ambayo maana yake ni chumvi kwani miaka mingi wafanyabiashara walikuwa wanafika mahali hapo kubadilishana mazao yao kwa chumvi. Mji wa kisasa wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni Waingereza mnamo mwaka 1927. Wakati ule dhahabu ilianza kupatikana katika mlimani karibu na Mbeya hadi Chunya, Ramani ya Tanzania ikilionyesha Jiji la Mbeya upande wa kusini mwa Nchi, ikumbukwe kuwa jina la utani la Mbeya City huitwa Green City au Jiji la Kijani, yote ni kwasababu ya Mazingira mazuri ya Kijani yaliyopo Jijini Mbeya hapa chini ni kipande cha Ramani kikiuonyesha mkoa wa Mbeya pamoja na wilaya zake kadhaa, Ramani ya Mbeya 2. Hapo mwanzo eneo la Mbeya liliitwa Scotland ya Afrika, sababu kuu ikiwa ni wingi wa Miinuko (Milima) Pia hali ya hewa ya Mbeya iliyotawaliwa na Misitu ya kijani, Ifananayo na ile iliyopo Magharibi mwa Africa Kusini, ambayo pia hufanana na milima ya nchi ...