JK AKIMNADI MEMBE


Mtama 103.  Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Kikwete akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi Ndugu Bernard Membe wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika mji wa Nyangao tarehe 20.10.2010.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO 5 YA KILA MWANANDOA KUFAHAMU

SALMA KIKWETE, WAWATA WAMPAISHA PROF. NDAKIDEMI